Swali 669: Ambaye amesikia Qur-aan kisha sauti yake ikapanda juu kwa kulia katika ndani ya swalah. Je, akaripiwe?

Jibu: Akizidiwa kutokwa na machozi asikemewe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 242
  • Imechapishwa: 27/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´