Kila muujiza wa Nabii umetokea kwa Mtume wetu?

Swali 31: Je, kila muujiza wa Nabii ulitokea kwa Mtume wetu?

Jibu: Hapana. Muujiza wa ngamia jike wa Swaalih ni wake pekee na haukutokea kwake (Swalla Allaahu ´alayhimaa wa sallam).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 36
  • Imechapishwa: 26/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´