Swali: Ni upi wakati wa mwisho wa Twawaaf-ul-Ifaadhwah?

Jibu: Maoni sahihi ni kwamba haina kikomo. Lakini bora ni kuiharakisha katika yale masiku ya kuchinja. Lakini akitufu baada yake kama vile mwishoni mwa mwezi, katika Muharram au Swafar itasihi. Lakini kuiharakisha katika masiku ya Minaa ndio bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21569/ما-اخر-وقت-طواف-الافاضة
  • Imechapishwa: 18/08/2022