Swali: Ni haramu kula mamba na kiboko na kunufaika na ngozi yake?
Jibu: Chenye kuishi katika nchikavu na baharini kinaliwa tu ikiwa ni halali na kimechinjwa. Chenye kuishi ndani ya bahari na lau kitatoka kwenda nchikavu kitakufa maiti yake ni halali. Hiki ni kidhibiti cha wazi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni haramu kula mamba na kiboko na kunufaika na ngozi yake?
Jibu: Chenye kuishi katika nchikavu na baharini kinaliwa tu ikiwa ni halali na kimechinjwa. Chenye kuishi ndani ya bahari na lau kitatoka kwenda nchikavu kitakufa maiti yake ni halali. Hiki ni kidhibiti cha wazi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/kigezo-cha-kula-mnyama-maiti-ndani-ya-bahari/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)