Swali: Kuna kigezo kipi kwa baba kuchukua mali ya mtoto wake?

Jibu: Kile kisichomdhuru mtoto. Ikiwa matumizi ya mtoto ni pesa 100 kwa siku, kisha baba akachukua kutoka kwake kitu kinachomdhuru, hapana na anazuiwa. Matumizi ya familia yake yanatangulizwa mbele ya matumizi ya baba yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25412/ما-الضابط-في-اخذ-الوالد-من-مال-ابنه
  • Imechapishwa: 09/03/2025