Swali: Ni ipi hukumu ya kucheka sana na kuzungumza mambo ya dunia misikitini?
Jibu: Haifai kufanya hivyo. Dogo liwezalo kusemwa ni kwamba inachukiza. Misikiti imejengwa kwa ajili ya kumtaja Allaah. Lakini jambo dogo linaweza kusamehewa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
- Imechapishwa: 27/09/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kucheka sana na kuzungumza mambo ya dunia misikitini?
Jibu: Haifai kufanya hivyo. Dogo liwezalo kusemwa ni kwamba inachukiza. Misikiti imejengwa kwa ajili ya kumtaja Allaah. Lakini jambo dogo linaweza kusamehewa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
Imechapishwa: 27/09/2026
https://firqatunnajia.com/kicheko-na-mazungumzo-ya-kilimwengu-msikitini/