Swali: Ni ipi hukumu ya kutanguliza Khutbah ya ´Iyd kabla ya swalah? Ni ipi hukumu ya kuhudhuria Khutbah ya ´Iyd? Je, ni sharti juu ya kusihi kwa swalah?
Jibu: Kutanguliza Khutbah ya ´Iyd kabla ya swalah ni Bid´ah iliyokomewa na Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum).
Kuhusu kuhudhuria sio jambo la wajibu. Mwenye kutaka ahudhurie, asikilize na kunufaika. Mwenye kutaka aondoke zake.
Kuhudhuria sio sharti juu ya kusihi kwa swalah ya ´Iyd. Sharti siku zote hutanguliza kabla ya kile kitendo chenye kushurutishwa ilihali Khtubah ni yenye kutolewa baada ya swalah.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (16/249-250)
- Imechapishwa: 14/06/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket