Swali: Khawaarij wanaowakufurisha waislamu ni makafiri?
Jibu: Sio makafiri. Sio makafiri. ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Wamekimbia ukafiri.”
Wamekimbia ukafiri. Wamepindukia tu. Sio makafiri, lakini hawako katika njia sahihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)