Swali: Ikiwa mama yangu hupata uchovu mkubwa kutokana na kazi za nyumbani na tunataka kuleta mfanyakazi wa nyumbani kafiri, ilhali nyumbani kuna watoto wanne ambao hawajaoa. Ni ipi hukumu iwapo mfanyakazi huyo atakuwepo nyumbani nami siwezi kutoka nje ya nyumba? Ni ipi hukumu ya kuzungumza naye kwa lengo la kumuingiza katika Uislamu?
Jibu: Haijuzu kuleta mfanyakazi wa nyumbani kafiri kabisa. Maadamu nyumbani kuna wanaume ambao hawajaoa, basi kuwepo kwa mfanyakazi wa nyumbani miongoni mwao, hata kama angekuwa muislamu, kuna khatari kubwa sana. Kwa hiyo haipaswi kufanya hivyo. Kinachopaswa ni kumuomba msaada Allaah na kila mmoja afanye awezalo na wajitahidi kuoana, kisha wake zao wawahudumie.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1518/حكم-استقدام-خادمة-كافرة
- Imechapishwa: 26/06/2026
Swali: Ikiwa mama yangu hupata uchovu mkubwa kutokana na kazi za nyumbani na tunataka kuleta mfanyakazi wa nyumbani kafiri, ilhali nyumbani kuna watoto wanne ambao hawajaoa. Ni ipi hukumu iwapo mfanyakazi huyo atakuwepo nyumbani nami siwezi kutoka nje ya nyumba? Ni ipi hukumu ya kuzungumza naye kwa lengo la kumuingiza katika Uislamu?
Jibu: Haijuzu kuleta mfanyakazi wa nyumbani kafiri kabisa. Maadamu nyumbani kuna wanaume ambao hawajaoa, basi kuwepo kwa mfanyakazi wa nyumbani miongoni mwao, hata kama angekuwa muislamu, kuna khatari kubwa sana. Kwa hiyo haipaswi kufanya hivyo. Kinachopaswa ni kumuomba msaada Allaah na kila mmoja afanye awezalo na wajitahidi kuoana, kisha wake zao wawahudumie.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1518/حكم-استقدام-خادمة-كافرة
Imechapishwa: 26/06/2026
https://firqatunnajia.com/khatari-ya-mfanyakazi-wa-kike-na-kafiri-katika-nyumba-yenye-wavulana/