Kazi za nyumbani na usomaji wa Qur-aan

Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qur-aan tukufu wakati wa kufanya kazi za nyumbani kama vile kuosha vyombo na mfano wake?

Jibu: Kukipatikana mazingatio, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 37
  • Imechapishwa: 01/07/2022