Swali: Ni hatua gani za kimsingi ambazo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya ili kuunda dola ya Kiislamu?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya hatua mbalimbali; kutayarisha wanaume wakweli na kufundisha. Kisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasubiri na Maswahabah zake. Walipewa mtihani wa njaa na umasikini, maadui na jamaa. Walitahiniwa na mambo mengi, lakini hata hivyo wakafanya subira. Kwa ajili hiyo tunatakiwa kujizoweza kuwa na subira na kutafuta elimu yenye manufaa, kama alivofanya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah zake. Aidha Qur-aan na kuifanyia kazi.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 352
- Imechapishwa: 05/06/2025
Swali: Ni hatua gani za kimsingi ambazo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya ili kuunda dola ya Kiislamu?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya hatua mbalimbali; kutayarisha wanaume wakweli na kufundisha. Kisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasubiri na Maswahabah zake. Walipewa mtihani wa njaa na umasikini, maadui na jamaa. Walitahiniwa na mambo mengi, lakini hata hivyo wakafanya subira. Kwa ajili hiyo tunatakiwa kujizoweza kuwa na subira na kutafuta elimu yenye manufaa, kama alivofanya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah zake. Aidha Qur-aan na kuifanyia kazi.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 352
Imechapishwa: 05/06/2025
https://firqatunnajia.com/katika-kipindi-kizito-tayarisha-wanaume-wa-kweli/