Swali: Wafanya kazi wengi hawakupi haki yako mpaka kwanza utoe rushwa. Katika hali kama hii mtu afanye nini?
Jibu: Ikiwa haki yako inapotea basi hiyo ni dharurah. Dhambi zinampata yeye. Kwani hiyo ni dharurah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaad-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6176/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%AF%D9%81%D8%B9-%D8%A7%D9%84%D8%B1%D8%B4%D9%88%D8%A9-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D8%AC%D9%84-%D8%A7%D8%AE%D8%B0-%D8%A7%D9%84%D8%AD%D9%82
- Imechapishwa: 29/11/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket