Katika hali hii ndio itafaa kumsafirisha maiti kumtoa mji mmoja hadi mwingine

Swali: Ni ipi hukumu ya kumsafirisha maiti kutoka nchi moja hadi nyingine?

Jibu: Inajuzu kumsafirisha maiti kumtoa katika mji mmoja hadi mwingine ikiwa kuna sababu sahihi. Kwa sharti kusikhofiwe juu ya viungo vya maiti kuharibika. Lakini hata hivyo lililo bora ni kumzika maiti katika ule mji aliyofiaeko. Kuna kufanya mbio katika kumwandaa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/76)
  • Imechapishwa: 17/06/2017