Katika hali hii inafaa kuswali maeneo palipo najisi

Swali: Ikiwa mtu amefungwa sehemu najisi. Afanyeje katika swalah yake?

Jibu:

فَاتَّقُوا اللَّـهَ مَا اسْتَطَعْتُمْ

”Mcheni Allaah muwezavyo.”[1]

Aswali kulingana na hali yake. Hata akiwa katika sehemu najisi, swalah yake inasihi:

وَقَدْ فَصَّلَ لَكُم مَّا حَرَّمَ عَلَيْكُمْ إِلَّا مَا اضْطُرِرْتُمْ إِلَيْهِ

“… na ilhali ameshakubainishieni yale Aliyokuharamishieni isipokuwa vile mlivyofikwa na dharura navyo.”[2]

[1] 64:16

[2] 06:119

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27523/كيف-يصلي-المسجون-في-مكان-نجس
  • Imechapishwa: 11/04/2025