626 – Mtu ametumia dawa na hivyo nywele zake zote zikaanguka. Je, inajuzu kupaka rangi nyusi? Vivyo hivyo kwa mwanamke ambaye nyusi zake zimeanguka?

Jibu: Sijui kizuizi, kwa ajili ya kujipamba. Kufanya hivo sio kuchonga nyusi (النمص).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 222
  • Imechapishwa: 14/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´