Swali: Ni vipi ikiwa mtu atawawekea wasichana zake doli zinazoigiza maumbile ya Allaah lakini akachoma uso wake?

Jibu: Hayajafikiwa malengo yake akichoma moto uso wake. Isipokuwa ikiwa kama atakata kichwa chake au ikawa ni doli zisizokuwa na kichwa hapo hakuna upinzani na itafaa. Tunachozungumzia ni pale zitakuwa pamoja na vichwa vyao.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24181/حكم-العاب-البنات-التي-فيها-مضاهاة-لخلق-الله
  • Imechapishwa: 13/09/2024