282 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu ambaye amekuja akamkuta imamu yuko katika Sujuud ajiunge ndani ya swalah kwa kuanza kusoma du´aa ya kufungulia swalah au alete Takbiyr na kusujudu? Ikiwa hatosoma du´aa ya kufungulia swalah aisome katika Rak´ah ya pili?
Jibu: Asisome du´aa ya kufungulia swalah, bali asujudu na kumfuata imamu. Asisome du´aa ya kufungulia swalah katika Rak´ah ya pili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 102
- Imechapishwa: 17/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
282 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu ambaye amekuja akamkuta imamu yuko katika Sujuud ajiunge ndani ya swalah kwa kuanza kusoma du´aa ya kufungulia swalah au alete Takbiyr na kusujudu? Ikiwa hatosoma du´aa ya kufungulia swalah aisome katika Rak´ah ya pili?
Jibu: Asisome du´aa ya kufungulia swalah, bali asujudu na kumfuata imamu. Asisome du´aa ya kufungulia swalah katika Rak´ah ya pili.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 102
Imechapishwa: 17/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/katika-hali-hii-asome-duaa-ya-kufungulia-swalah-katika-rakah-ya-pili/