Swali: Nimesoma kitabu chako juu ya uharamu wa picha na nataka kuuliza yafuatayo: kwa vile umefutu juu ya uharamu wa picha itambulike kuwa kuna aina nyingine ya picha nayo ni ile ambayo tunashuhudia kwenye TV na video kwenye kanda ya sinema. Picha ya mtu inaonekana na inakuwa ni yenye kuhisiwa na picha hiyo inahifadhiwa kwa muda mrefu. Ni ipi hukumu ya picha sampuli hizi?
Jibu: Hukumu ya picha inajumuisha yote uliyoyasema.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/464)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Nimesoma kitabu chako juu ya uharamu wa picha na nataka kuuliza yafuatayo: kwa vile umefutu juu ya uharamu wa picha itambulike kuwa kuna aina nyingine ya picha nayo ni ile ambayo tunashuhudia kwenye TV na video kwenye kanda ya sinema. Picha ya mtu inaonekana na inakuwa ni yenye kuhisiwa na picha hiyo inahifadhiwa kwa muda mrefu. Ni ipi hukumu ya picha sampuli hizi?
Jibu: Hukumu ya picha inajumuisha yote uliyoyasema.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/464)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/kanda-za-video-zinaingia-katika-picha-zilizoharamishwa/