Kama Allaah akikuneemesha basi jitanafasi bila israfu

660 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu muumini aliyeruzukiwa na Allaah duniani ni bora zaidi kujitanafasi nafsi yake na familia yake au kutoa kile kilichozidi?

Jibu: Hapana, bali ajitanafasi na atoe matumizi kwa familia yake na watoto wake, lakini bila kufanya israfu. Hivyo ajitanafasi kwa nafsi yake kama Allaah alivyomneemesha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 240
  • Imechapishwa: 21/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´