Swali: Nguo zangu zikipatwa na najisi na nikawa niko na kahawa peke yake na sina maji, nitwahirishe nayo?
Jibu: Kahawa haitwahirishi. Ikiwa nguo zako zimepatwa na najisi na huna maji ya kujitwaharisha nayo, swali hata kama nguo zina najisi. Ni sawa. Hili ndilo unaloliweza. Hutakiwi kuacha swalah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Nguo zangu zikipatwa na najisi na nikawa niko na kahawa peke yake na sina maji, nitwahirishe nayo?
Jibu: Kahawa haitwahirishi. Ikiwa nguo zako zimepatwa na najisi na huna maji ya kujitwaharisha nayo, swali hata kama nguo zina najisi. Ni sawa. Hili ndilo unaloliweza. Hutakiwi kuacha swalah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/kahawa-haitwahirishi/