Swali: Je, kafiri anayekunywa pombe katika nchi ya waislamu anasimamishiwa adhabu licha ya kwamba ni kafiri?
Jibu: Akidhihirisha hilo basi anaadhibiwa na kukatazwa. Lakini asipoyafanya hadharani na akanywa nyumbani kwake na asiyadhihirishe, usende nyumbani kwake kumpekua.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
- Imechapishwa: 19/07/2024
Swali: Je, kafiri anayekunywa pombe katika nchi ya waislamu anasimamishiwa adhabu licha ya kwamba ni kafiri?
Jibu: Akidhihirisha hilo basi anaadhibiwa na kukatazwa. Lakini asipoyafanya hadharani na akanywa nyumbani kwake na asiyadhihirishe, usende nyumbani kwake kumpekua.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
Imechapishwa: 19/07/2024
https://firqatunnajia.com/kafiri-anayekunywa-pombe-katika-mji-wa-waislamu/