Swali: Nililazimika kutoa kafara ya kiapo changu ambapo nikawapa kafara yangu wafagiaji kumi. Je, kinasihi?

Jibu: Ikiwa ni waislamu na ni mafukara, ndio inasihi.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 28/06/2024