Jopo la wanachuoni wengi wanaona ulazima wa utambuzi wa walii

Swali: Vipi ikiwa nchi inahukumu kwa madhehebu ya Hanafiy ambapo mwanamke akaolewa pasi na walii kisha mwanamke huyohuyo akapewa fatwa juu ya madhehebu mengine?

Jibu: Ni kitu kinachotakiwa kutazamwa vyema. Pengine aliyehukumu mara ya kwanza ni hakimu. Ni kitu kinachotakiwa kutazamwa vyema. Kikosi cha wanachuoni walio wengi wanaona kuwa ni lazima kuwepo kwa walii. Madhehebu ya Hanafiy juu ya suala hili ni dhaifu na hivyo hayazingatiwi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawa-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6364/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%B2%D9%88%D8%A7%D8%AC-%D8%A8%D8%BA%D9%8A%D8%B1-%D9%88%D9%84%D9%8A
  • Imechapishwa: 18/12/2020