Swali: Vipi tutatangamana na familia zetu ambazo zinasherehekea maulidi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Wanasihini. Yule mwenye kuweza kuwakataza awakataze. Ikiwa hamuwezi kuwakataza wanasihini, wabainishieni na watahadharisheni na hilo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/7aqoq-01.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)