Swali: Sunnah ni mtu akiingia kwenye kikao kutoa salamu ya pamoja kisha akae au ampe mkono kila mmoja katika waliokaa?
Jibu: Atoe salamu na inatosheleza na asiwashughulishe kwa kumpa kila mmoja mkono. Awatolee salamu wote na inatosheleza.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-24_0.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014
Swali: Sunnah ni mtu akiingia kwenye kikao kutoa salamu ya pamoja kisha akae au ampe mkono kila mmoja katika waliokaa?
Jibu: Atoe salamu na inatosheleza na asiwashughulishe kwa kumpa kila mmoja mkono. Awatolee salamu wote na inatosheleza.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-24_0.mp3
Imechapishwa: 15/11/2014
https://firqatunnajia.com/jinsi-ya-kusalimia-kundi-la-watu-katika-kikao/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket