Jinsi ya kusafisha viatu vyenye najisi kwa chini

Swali: Je, udongo unazingatiwa unasafisha najisi?

Jibu: Akiisugua na ikaondoka yote. Ameisugua na kusibakie kitu. Katika hali hiyo udongo umeisafisha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24822/هل-يعتبر-التراب-مطهرا-للنجاسات
  • Imechapishwa: 13/12/2024