Swali: Vipi kuhusu kukusanya kati ya jina la Mtume (صلى الله عليه وسلم) na lakabu yake?

Jibu: Hapana, sahihi ni kwamba hapana vibaya. Hapana vibaya baada ya kufa kwake. Mtu anaweza kusema Muhammad Abul-Qaasim. Hakika hapana vyenginevyo kilichokatazwa ni wakati wa uhai wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24670/حكم-الجمع-بين-اسم-النبي-ﷺ-وكنيته
  • Imechapishwa: 22/11/2024