Swali: Vipi kuhusu kumwita mtu jina la utani analochukia?
Jibu: Haidhuru ikiwa ndio jina analotambulika kwalo. Ikiwa anajulikana kwa jina hilo haiwi ni usengenyi.
Swali: Ikiwa jina lake ni Muhammad kwa nini tumwite kiguru (أعرج)?
Jibu: Haidhuru. Haina neno ikiwa ndio jina analotambulika kwalo.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24146/هل-من-الغيبة-تلقيب-الشخص-بما-يكره
- Imechapishwa: 07/09/2024
Swali: Vipi kuhusu kumwita mtu jina la utani analochukia?
Jibu: Haidhuru ikiwa ndio jina analotambulika kwalo. Ikiwa anajulikana kwa jina hilo haiwi ni usengenyi.
Swali: Ikiwa jina lake ni Muhammad kwa nini tumwite kiguru (أعرج)?
Jibu: Haidhuru. Haina neno ikiwa ndio jina analotambulika kwalo.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24146/هل-من-الغيبة-تلقيب-الشخص-بما-يكره
Imechapishwa: 07/09/2024
https://firqatunnajia.com/jina-bandia-linalomchukiza-mtu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)