Swali: Baadhi ya watu unapowakataza basi ndio huzidisha. Kwa mfano ameweka kubwa anapaza sauti zaidi, kama anavuta sigara anakupulizia usoni mwako.
Jibu: Mwombee uongofu. Kuna watu ambao ni wapumbavu na kuwakataza hakuwazidishii jengine isipokuwa shari zaidi. Lakini muumini anapaswa awe mwenye akili zaidi kuliko yeye, awe mpole na mwenye subira. Amwambie:
الله يهديك
”Allaah akuongoze.”
الله يعيذك من الشيطان
”Allaah akulinde na shaytwaan.”
Anatakiwa awe mbora kuliko yeye.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24620/بم-ينصح-من-يتعرض-للاذى-عند-انكار-المنكر
- Imechapishwa: 14/11/2024
Swali: Baadhi ya watu unapowakataza basi ndio huzidisha. Kwa mfano ameweka kubwa anapaza sauti zaidi, kama anavuta sigara anakupulizia usoni mwako.
Jibu: Mwombee uongofu. Kuna watu ambao ni wapumbavu na kuwakataza hakuwazidishii jengine isipokuwa shari zaidi. Lakini muumini anapaswa awe mwenye akili zaidi kuliko yeye, awe mpole na mwenye subira. Amwambie:
الله يهديك
”Allaah akuongoze.”
الله يعيذك من الشيطان
”Allaah akulinde na shaytwaan.”
Anatakiwa awe mbora kuliko yeye.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24620/بم-ينصح-من-يتعرض-للاذى-عند-انكار-المنكر
Imechapishwa: 14/11/2024
https://firqatunnajia.com/jeuri-wakati-wa-kumkemea-movu/