Swali: Je, jino la miti aliyekufa ni najisi?
Jibu: Jino halipati najisi, ni kama mifupa.
Swali: Je, hilo linahusishwa na mnyama aliyechinjwa tu?
Jibu: Hapana, makusudio ni kwamba najisi huingia pale inapofika katika mwili mzima wa mnyama aliyekufa. Lakini maoni yaliyo karibu zaidi na usawa ni kuwa najisi haiingii katika jino.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31601/هل-عظم-الميتة-طاهر-ام-نجس
- Imechapishwa: 07/11/2025
Swali: Je, jino la miti aliyekufa ni najisi?
Jibu: Jino halipati najisi, ni kama mifupa.
Swali: Je, hilo linahusishwa na mnyama aliyechinjwa tu?
Jibu: Hapana, makusudio ni kwamba najisi huingia pale inapofika katika mwili mzima wa mnyama aliyekufa. Lakini maoni yaliyo karibu zaidi na usawa ni kuwa najisi haiingii katika jino.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31601/هل-عظم-الميتة-طاهر-ام-نجس
Imechapishwa: 07/11/2025
https://firqatunnajia.com/je-viungo-vya-maiti-ni-safi-au-najisi/