- Tarjama: Firqatunnajia.com
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Ni wajibu kuomba ulinzi dhidi ya mambo manne katika Tashahhud?
Swali: Kuomba ulinzi dhidi ya mambo manne haya ni jambo la wajibu au Sunnah? Jibu: Kikosi cha wanazuoni wengi wanaona kuwa ni Sunnah. Imepokelewa kutoka kwa Twawuus ya kwamba alikuwa akimwamrisha mwanawe kuirudia swalah pale anapoiacha, kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameyaamrisha: “Anapoleta Tashahhud mmoja wenu basi…
In "Mambo ya wajibu ya swalah"
Kuomba du´aa ya kinga kabla ya Tasliym
Swali: Kuomba du´aa ya kujikinga na mambo mane “Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kinga dhidi ya adhabu ya kaburi... “ mpaka mwisho kabla ya Tasliym. Je, ni wajibu au imependekezwa? Jibu: Imependekezwa. Imependekezwa na sio wajibu. Kwa kuwa wakati Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipomfunza mwenye kuswali vibaya katika…
In "Yanayopendeza katika swalah"
Aombe du´aa ndani au nje ya swalah?
Swali: Bora kuomba du´aa ndani ya swalah inayopendeza au baada ya kumaliza kuswali? Jibu: Bora ni kuomba katika Sujuud. Bora ni katika Sujuud na mwishoni mwa swalah kabla hajatoa salamu. Simaanishi baada ya kumalizika swalah, kabla hajatoa salamu. Hivi ndio bora na karibu zaidi kuitikiwa du´aa. Vivyo hivyo katika hali…
In "Du´aa na Adhkaar"
