Swali: Je, roho zinakutana baada ya kufa?
Jibu: Allaah ndiye mjuzi zaidi. Kumekuja mitazamo mingi kuhusu kukutana na Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) ndiye mjuzi zaidi. Kumepokelewa mambo yanayojulisha kuwa zinaweza kukutana ambapo roho ya muumini inakutana na roho ya muumini ambaye bado yuko hai wanakutana usingizini. Kumepatikana mifano mingi inayojulisha kupatikana kwa jambo hilo. Lakini hakuna juu ya hilo Hadiyth Swahiyh kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) inayofahamisha hilo kutokana na tunavyojua. Lakini kumepatikana ndoto zinazojulisha juu ya jambo hilo na juu ya kutokea kwake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/2988/%D9%87%D9%84-%D8%AA%D8%AA%D9%84%D8%A7%D9%82%D9%89-%D8%A7%D9%84%D8%A7%D8%B1%D9%88%D8%A7%D8%AD-%D8%A8%D8%B9%D8%AF-%D8%A7%D9%84%D9%85%D9%88%D8%AA-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%82%D8%A8%D9%88%D8%B1
- Imechapishwa: 08/02/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
65. Kufufuliwa kwa watu baada ya kufa na dalili ya hilo
Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema: Baada ya watu kufa, watafufuliwa. Dalili ni Kauli Yake (Ta´ala): مِنْهَا خَلَقْنَاكُمْ وَفِيهَا نُعِيدُكُمْ وَمِنْهَا نُخْرِجُكُمْ تَارَةً أُخْرَىٰ "Kutoka humo [ardhini] Tumekuumbeni na katika hiyo [ardhi] tutakurudisheni na kutoka humo tutakutoeni mara nyingine.”[1] وَاللَّـهُ أَنبَتَكُم مِّنَ الْأَرْضِ نَبَاتًا ثُمَّ يُعِيدُكُمْ فِيهَا وَيُخْرِجُكُمْ إِخْرَاجًا…
In "Sharh Usuwl-ith-Thalaathah - ar-Raajihiy"
98. Dalili zinapobaki roho za waumini baada ya kufa
Imesihi ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema kuhusu mashahidi: “Roho zao ziko ndani ya matumbo ya kijani ya ndege. Ziko na mataa yaliyotundikwa kwenye ´Arshi. Zinaruka huku na kule Peponi zinapotaka. Halafu zinarudi kwenye kwenye lile taa.” Katika upokezi wa Qataadah kumetajwa matamshi geni: “Roho za waumini…
In "Liwazo kwa waliofikwa na misiba"
Mimba ambayo madaktari wamethibitisha mtoto ana kasoro ya kimaumbile
Swali: Madaktari wakithibitisha kuwa mtoto huyu ni mwenye umbile la muumbuko tumboni mwa mama yake na daktari akaashiria kuiangusha mimba hii na mama yake akakubaliana na hilo na wakamwambia kuwa wataiangusha kwa kutumia miale. Ni ipi hukumu ya kuiporomosha? Ni zipi hukumu zinazopelekea juu ya hilo? Jibu: Ikiwa kipomoko hicho…
In "Utoaji wa mimba"