Swali: Je, mwanaume anayewapa matumizi familia yake pasi na kutarajia malipo anaandikiwa kuwa ametoa swadaqah?
Jibu: Kunatarajiwa kwake kheri, kwa sababu imekuja katika baadhi ya mapokezi:
”Matumizi ya mwanaume kwa familia yake ni swadaqah.”
Hata hivyo akitarajia malipo inakuwa ndio kamilifu na bora zaidi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24489/هل-يوجر-الرجل-في-نفقة-اهله-اذا-لم-يحتسبها
- Imechapishwa: 18/10/2024
Swali: Je, mwanaume anayewapa matumizi familia yake pasi na kutarajia malipo anaandikiwa kuwa ametoa swadaqah?
Jibu: Kunatarajiwa kwake kheri, kwa sababu imekuja katika baadhi ya mapokezi:
”Matumizi ya mwanaume kwa familia yake ni swadaqah.”
Hata hivyo akitarajia malipo inakuwa ndio kamilifu na bora zaidi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24489/هل-يوجر-الرجل-في-نفقة-اهله-اذا-لم-يحتسبها
Imechapishwa: 18/10/2024
https://firqatunnajia.com/je-mume-analipwa-thawabu-kwa-matumizi-ya-nyumbani-asiponuia/