Je, Malaika wanaitikia salamu mtu asipoitikia?

Swali: Je, Malaika wanaitikia salamu ikiwa mtu hakuitikia salamu?

Jibu: Hili limo ndani ya Hadiyth, unatoa salamu kwa yule uliyemkusudia. Ama ikiwa wako ndani ya nyumba na wakasikia, dhahiri ni kwamba wanaitikia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27668/هل-ترد-الملاىكة-السلام-اذا-ما-رد-الانسان
  • Imechapishwa: 17/04/2025