Je, Malaika huandikia mawazo ya moyo?

Swali: Je, Malaika wanarekodi matendo ya moyo kwa maana yale mawazo ya moyo?

Jibu: Mawazo ya ghafla yasiyothibiti dhahiri ni kwamba hayarekodiwi, kinachorekodiwa ni kile kitendo kinachothibiti. Ni mamoja iwe kitendo au maneno.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27969/هل-تسجل-الملاىكة-خطرات-القلب
  • Imechapishwa: 17/04/2025