Swali: Je, suala la kuoa wake wengi si ni sababu ya kupungua kwa utulivu wa mwanaume kwa sababu ya mabishano, chuki na uadui wa watoto wa mke mmoja kuchukiwa na mke mwingine, jambo linalosababisha watoto kuwachukia baba zao?
Jibu: Swali hili limetokana na kufananishwa na kupotoshwa na maadui wa Allaah. Hakuna matatizo. Hakuna uadui kati ya watoto. Bali kilichopo kati yao ni mapenzi, kusaidiana na kheri. Hakuna matatizo isipokuwa yanayotokana na mume. Yeye ndiye mwenye matatizo. Ikiwa atakuwa mwenye kufanya uadilifu, basi hakuna matatizo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2573/هل-التعدد-سبب-للمشاكل
- Imechapishwa: 28/03/2026
Swali: Je, suala la kuoa wake wengi si ni sababu ya kupungua kwa utulivu wa mwanaume kwa sababu ya mabishano, chuki na uadui wa watoto wa mke mmoja kuchukiwa na mke mwingine, jambo linalosababisha watoto kuwachukia baba zao?
Jibu: Swali hili limetokana na kufananishwa na kupotoshwa na maadui wa Allaah. Hakuna matatizo. Hakuna uadui kati ya watoto. Bali kilichopo kati yao ni mapenzi, kusaidiana na kheri. Hakuna matatizo isipokuwa yanayotokana na mume. Yeye ndiye mwenye matatizo. Ikiwa atakuwa mwenye kufanya uadilifu, basi hakuna matatizo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2573/هل-التعدد-سبب-للمشاكل
Imechapishwa: 28/03/2026
https://firqatunnajia.com/je-kuoa-wake-wengi-ndio-chanzo-cha-matatizo-na-watoto-kuwachukia-baba-zao/