Swali: Je, kunyoa ndevu ni katika sifa za kike?
Jibu: Kunaweza kujumuishwa na sifa hiyo. Hata jambo lake ni maalum. Kunyoa ndevu ni haramu kabisa hata kama mwanaume hakukusudia sifa za kike. Ni haramu kwake kabisa kuzinyoa. Akikusudia sifa za kike inakuwa shari juu ya shari nyingine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23914/هل-حلق-اللحية-من-التخنث
- Imechapishwa: 31/05/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket