Je, inajuzu kwa wanawake kucheza na kupiga dufu?

Swali: Je, inajuzu kwa wanawake kucheza na kupiga dufu?

Jibu: Hapana vibaya wakiwa baina yao. Kucheza pia baina yao haina neno, kwa sababu hiyo ni kazi yao. Kuhusu wanaume wasiwe pamoja na wanawake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3273/حكم-الرقص-مع-الدف-للنساء-وحكم-رقص-الرجال
  • Imechapishwa: 07/08/2026