Swali: Hafai kabisa kuwafanyia ukali wazazi wakati wa kuwakosoa?

Jibu: Hapana, kwa upole. Allaah amesema kuhusu wazazi makafiri:

وَصَاحِبْهُمَا فِي الدُّنْيَا مَعْرُوفًا

”Lakini suhubiana nao kwa wema duniani.”[1]

Vilevile amesema juu yao:

فَلَا تَقُل لَّهُمَا أُفٍّ وَلَا تَنْهَرْهُمَا وَقُل لَّهُمَا قَوْلًا كَرِيمًا

“… basi usiwaambie ´Ah` na wala usiwakemee na waambie maneno ya heshima.”[2]

[1] 31:15

[2] 17:23

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28763/هل-يجوز-التعنيف-في-الانكار-على-الوالدين
  • Imechapishwa: 24/04/2025