Je, baba anamzuia babu kurithi?

Swali: Je, baba anamzuia babu kurithi?

Jibu: Ndio, kwa mujibu wa wanazuoni wote. Ikiwa baba yupo, basi babu hana chochote. Na ikiwa mama yupo, basi bibi hana chochote, kwa mujibu wa wanazuoni wote.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25370/هل-يحجب-الاب-الجد
  • Imechapishwa: 08/03/2025