Swali: Jasho la nyumbu na punda?
Jibu: Jasho lake hapana vibaya kwa mujibu wa maoni sahihi. Jasho lake na mabaki ya unywaji wake hayana neno. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akipanda wanyama kama ngamia au punda huku akiwa bila kitu chochote cha kumkinga moja kwa moja dhidi ya mwili wa mnyama. Vilevile watu walikuwa wakifanya hivo.
Swali: Je, vipi ikiwa atalowa kwa maji?
Jibu: Hukumu ni hiyohiyo, ni kama paka:
“Ni miongoni mwa wanyama wanaoishi nanyi.”
Hata hivyo amesema kuhusu mkojo na kinyesi cha wanyama hawa kwamba ni najisi kama mwanadamu. Mwanadamu ni msafi, lakini kinyesi na mkojo wake ni najisi pia.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24701/حكم-عرق-البغال-والحمار-ونحوها
- Imechapishwa: 28/11/2024
Swali: Jasho la nyumbu na punda?
Jibu: Jasho lake hapana vibaya kwa mujibu wa maoni sahihi. Jasho lake na mabaki ya unywaji wake hayana neno. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akipanda wanyama kama ngamia au punda huku akiwa bila kitu chochote cha kumkinga moja kwa moja dhidi ya mwili wa mnyama. Vilevile watu walikuwa wakifanya hivo.
Swali: Je, vipi ikiwa atalowa kwa maji?
Jibu: Hukumu ni hiyohiyo, ni kama paka:
“Ni miongoni mwa wanyama wanaoishi nanyi.”
Hata hivyo amesema kuhusu mkojo na kinyesi cha wanyama hawa kwamba ni najisi kama mwanadamu. Mwanadamu ni msafi, lakini kinyesi na mkojo wake ni najisi pia.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24701/حكم-عرق-البغال-والحمار-ونحوها
Imechapishwa: 28/11/2024
https://firqatunnajia.com/jasho-la-punda-paka-na-nyumbu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)