Swali: Baadhi ya watu wanaojinasibisha na Jamaa´at-ut-Tabliygh wanafanya Khuruuj mwanzoni wa mwaka wa Hijriy na wanawapa watu hongera kwa kuingia mwaka mpya wa Hijriy kwenye Misikiti. Je, kitendo chao hichi kinazingatiwa ni kuifanya siku hii kuwa Idi?
Jibu: Jamaa´at-ut-Tabliygh wana mambo makubwa kuliko haya. Wana mambo makubwa kuliko kupeana hongera kwa mwaka mpya wa Hijriy:
1- Wana Khuruuj.
2- Wana ratiba ambazo wamefanya ndio mfumo wao.
3- Wanapuuzia Tawhiyd.
4- Wanapuuzia kutafuta elimu.
Wana jarima kubwa kuliko hizi. Tunamuomba Allaah Atuongeze sisi na wao na asidanganyike yeyote na waliodanganyika katika watoto wa Waislamu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m14350624_01g02.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)