I´tikaaf ya mwanamke inakuwa msikitini

Swali: Je, mwanamke anaweza kufanya I´tikaaf katika sehemu ya wanawake msikitini?

Jibu: Hakuna tatizo. Wakeze Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) walifanya I´tikaaf msikitini.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25441/ما-حكم-اعتكاف-المراة-في-مصلى-النساء
  • Imechapishwa: 20/03/2025