I´tikaaf ya ambaye ametokwa na manii

Swali: Mtu akitokwa na manii inaharibika I´tikaaf yake?

Jibu: Haibatiliki – Allaah akitaka. Kutokwa na manii kwa sababu ya kufanya mambo ya romantiki kunaharibu ile swawm. Lakini katika hali hii udhahiri ni kwamba I´tikaaf yake haiharibiki, kwa sababu Muhrim ni juu yake jimaa:

وَلَا تُبَاشِرُوهُنَّ وَأَنتُمْ عَاكِفُونَ فِي الْمَسَاجِدِ

“Na wala msichanganyike nao hali ya kuwa nyinyi ni wenye kukaa I’tikaaf  misikitini.”[1]

Ni kinaya cha jimaa.

[1] 02:187

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23817/هل-يبطل-اعتكاف-من-خرج-منه-المني
  • Imechapishwa: 14/05/2024