Swali: Ni lini mwenye kukaa I´tikaaf anatoka katika I´tikaaf yake? Je, ni baada ya jua kuzama usiku wa kuamkia ´iyd au ni baada ya alfajiri siku ya ´iyd?

Jibu: Mwenye kukaa I´tikaaf anatoka katika I´tikaaf yake inapoisha Ramadhaan. Ramadhaan inaisha kwa kuzama jua usiku wa kuamkia ´iyd.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (20/170)
  • Imechapishwa: 21/06/2017