Istikhaarah kwa ajili ya kumtembelea mtu

Swali: Swalah ya Istikhaarah imesuniwa kwa ambaye atamtembelea rafiki yake?

Jibu: Ndio. Kwa sababu ridhaa ya matembezi ni kitendo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 186
  • Imechapishwa: 04/07/2022