Swali: Je, mtu alete Basmalah au kuomba kinga na shaytwaan wakati anaposoma Suurah baada ya al-Faatihah?
Jibu: Ikiwa ameianza mwanzoni mwa Suurah alete Basmalah. Hakuna haja ikiwa sio Suurah na hivyo kule kuomba kinga pale mwanzoni kunatosha. Hata hivyo hapana neno ikiwa ataomba kinga. Lakini inatosha kule kuomba kinga mwanzoni mwa Suurah kabla ya swalah na pia ile Basmalah ya al-Faatihah inatosha. Akisoma Suurah ya baada yake alete Basmalah. Na ikiwa sio Suurah nzima – ni baadhi ya Aayah – basi itatosha kuzisoma pasi na kuomba kinga. Kwa sababu kunatosha kule kuomba kwake kinga mara ya kwanza.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23413/هل-يستعاذ-ام-يبسمل-للسورة-بعد-الفاتحة
- Imechapishwa: 13/01/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)