Waziri wa mambo ya Kiislamu Shaykh Swaalih Aal ash-Shaykh amewaonya wale wenye kujaribu kunasibisha ISIS na mfumo wa Salaf kwa kusema:
“Khawaarij walijitokeza katika Ummah wa watu bora, wakawaua watu bora kabisa na wakasoma kupitia mikono ya Maswahabah. Je, ni sahihi kusema kuwa Khawaarij ni mapando ya Maswahabah? Hapana, si sahihi. Kupatikana mambo mawili yaliyoambatana haina maana ya kwamba kimoja wapo ni natija ya chengine. Natija katika hali hii ni upotevu.”
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aal ash-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.af.org.sa/ar/node/3717
- Imechapishwa: 06/11/2016
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)