Swali: Je, inajuzu kuhudhuria jeneza la kafiri kwa ajili ya maslahi kwa mfano mtu asipohudhuria jeneza la ndugu yake kafiri jamaa zake watamkasirikia?
Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Haijuzu kwa muislamu kumshaji´isha kafiri au kuhudhuria jeneza lake. Kwa sababu kitendo hichi ni katika kumpenda. Isipokuwa katika hali moja; kama hakuna kafiri wa kumzika. Katika hali hii atamzika. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimwamrisha ´Aliy kumzika Abu Twaalib. Ikiwa kafiri hana yoyote wa kumzika waislamu watamzika.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2106
- Imechapishwa: 01/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)