Inajuzu kukata kizazi kutokana na magonjwa ya kurithi?

Swali: Ikiwa kuna magonjwa ya kurithi kati ya mume na mke na madaktari wamependekeza kwamba ikiwa mtoto atazaliwa basi anaweza kuwa mgonjwa. Ni ipi hukumu ya kuzuia kizazi?

Jibu: Hapana vibaya [kuzaa]. Madaktari wanaweza kukosea na kupatia. Mtu asiwategemee madaktari.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23895/هل-يجوز-منع-الانجاب-بسبب-امراض-وراثية
  • Imechapishwa: 28/05/2024